QR Code: vecLY5i8kz

Ripoti hii inaeleza matokeo ya ukaguzi wa taarifa za fedha na utii wa sheria kwa taasisi mbalimbali za Serikali kwa mwaka wa fedha ulioishia tarehe 30 Juni 2024. Ukaguzi ulihusisha Wizara na Idara za Serikali 333, Vyama vya Siasa 19, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), hesabu za majumuisho za serikali na ukaguzi wa awali wa mafaili ya mafao ya wastaafu, ambapo mapendekezo yalitolewa ili kuboresha uwajibikaji na matumizi ya rasilimali za umma.