QR Code: LHbYNWCKij
Ripoti hii inaeleza matokeo ya ukaguzi wa taasisi 218 zilizojumuisha Halmashauri 184, Sekretarieti za Mikoa 26, taasisi tanzu 2 na taasisi 8 chini ya OR-TAMISEMI kwa mwaka wa fedha 2023/24. Ukaguzi ulilenga kutathmini mifumo ya uhasibu, udhibiti wa ndani wa shughuli, taarifa za kifedha na taarifa za utekelezaji wa majukumu. Ripoti imetoa mapendekezo ya kuboresha usimamizi wa fedha na kuhakikisha utii wa sheria kwa kuzingatia kanuni za hatari na umuhimu wa jambo.
0 Maoni