Habari na Matangazo

Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bi. Wendy Massoy akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa kutoka nchini Zambia, Mhe. Darious Mulunda (MB).

Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bi. Wendy Massoy akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa kutoka nchini Zambia, Mhe. Darious Mulunda (MB) wakati Kamati yake…

Soma Zaidi

Naibu Mkaguzi Mkuu (Serikali za Mitaa), Bi. Kubela Mwakatundu amewasilisha mada kwa Wakurugenzi waliopo chini ya Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.

Naibu Mkaguzi Mkuu (Serikali za Mitaa), Bi. Kubela Mwakatundu amewasilisha mada kwa Wakurugenzi waliopo chini ya Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.

Soma Zaidi

Watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi jijini Dodoma wameshiriki kikamilifu katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi kwa mwaka 2024 katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Heri ya Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani - Mei Mosi 2024.

Heri ya Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani - Mei Mosi 2024.

Soma Zaidi

Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bi. Wendy Massoy amefunga mafunzo kwa Wakaguzi wa Ufanisi kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda.

Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bi. Wendy Massoy amefunga mafunzo kwa Wakaguzi wa Ufanisi kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda. Wawezeshaji wa mafunzo hayo Ofisi ya Taifa ya…

Soma Zaidi

Heri ya Miaka 60 ya Muungano.

Heri ya Miaka 60 ya Muungano.

Soma Zaidi

Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Bw. Novati Mfalamagoha, amemwakilisha CAG kwenye kufungua mafunzo kwa Wakaguzi wa Ufanisi kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda.

Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Bw. Novati Mfalamagoha, amemwakilisha CAG kwenye kufungua mafunzo kwa Wakaguzi wa Ufanisi kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda. Mafunzo hayo…

Soma Zaidi

Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1964 - 2024.

Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1964 - 2024.

Soma Zaidi