Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ndiyo Taasisi pekee nchini yenye jukumu la kuhakikisha iwapo
mapato na matumizi yaliyoidhinishwa na Bunge yamekusanywa na yametumika kwa mujibu wa sheria na kanuni zilizopo na hakuna ubadhirifu.
Anuani ya Taasisi
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi 4 Barabara ya Ukaguzi, S.L.P 950, Tambukareli, 41104 Dodoma. Simu: +255 (026) 2161200 Barua Pepe: ocag@nao.go.tz