News and Events

Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bi. Wendy Massoy amefungua mafunzo kwa Watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kuhusiana na “Risk Management and Compliance”.

Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bi. Wendy Massoy amefungua mafunzo kwa Watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kuhusiana na masuala ya udhibiti wa vihatarishi (risk management and…

Read More

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere amefanya Mkutano na Taasisi Binafsi za Ukaguzi jijini Dodoma siku ya Ijumaa Julai 14, 2023.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere amefanya Mkutano na  Taasisi Binafsi za Ukaguzi  jijini Dodoma siku ya Ijumaa Julai 14, 2023.

Read More

Heri ya Sikukuu ya SabaSaba 2023.

Heri ya Sikukuu ya SabaSaba 2023

Read More

Pongezi za Uteuzi

Pongezi za Uteuzi

Read More

Mfanyakazi Bora wa Jumla na Wafanyakazi Bora wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi 2023.

Mfanyakazi Bora wa Jumla na Wafanyakazi Bora wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi 2023.

Read More

Wafanyakazi Bora wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi 2023.

Wafanyakazi Bora wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi 2023.

Read More

Bw. Stephen Habari amechaguliwa kuwa Mfanyakazi Bora wa Jumla wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa mwaka 2023.

Bw. Stephen Habari amechaguliwa kuwa Mfanyakazi Bora wa jumla wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa mwaka 2023!

Read More

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi yaalikwa Bungeni kusikiliza Serikali ikiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2022 na mpango wa Maendelo wa Taifa kwa mwaka 2023/2024.

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi yaalikwa Bungeni kusikiliza Serikali ikiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2022 na mpango wa Maendelo wa Taifa kwa mwaka 2023/2024.

Read More