Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere amefanya Mkutano na  Taasisi Binafsi za Ukaguzi  jijini Dodoma siku ya Ijumaa Julai 14, 2023.