13 Sep, 2023 |
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi yashiriki ufunguzi wa Mkutano wa Wiki ya Ufuatiliaji na Tathmini Septemba 12, 2023 jijini Arusha.
|
Habari na Matukio
|
12 Sep, 2023 |
The National Audit Office of Tanzania is actively engaging in a pivotal Regional East Africa cooperation workshop, alongside counterparts from Supreme Audit Institutions (SAIs).
|
Habari na Matukio
|
11 Sep, 2023 |
Karibu “subscribe” kwenye Online Ukaguzi TV kwenye mtandao wa YouTube upate elimu na habari mbalimbali kuhusu Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.
|
Habari na Matukio
|
29 Aug, 2023 |
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi imeendesha mafunzo kwa Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Arusha. Mafunzo hayo yaliyohusisha Wanachama wa “Arusha Press Club” yamefanyika Jumatatu, Agosti 28, 2023 jijini Arusha.
|
Habari na Matukio
|
15 Aug, 2023 |
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere amefungua mafunzo kuhusu uchakataji wa data kwa kutumia programu ya Excel.
|
Habari na Matukio
|
02 Aug, 2023 |
Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakaguzi wa Ufanisi yaliyoandaliwa na AFROSAI-E kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi yanaendelea jijini Arusha.
|
|
27 Jul, 2023 |
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi imekabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali kwa Gereza Kuu Isanga ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2023.
|
Habari na Matukio
|
26 Jul, 2023 |
Maofisa wa Shirika la Fedha la Kimataifa la (IMF) kutoka Washington, D.C. Marekani wamekutana na Viongozi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi nakujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano.
|
Habari na Matukio
|
19 Jul, 2023 |
Njia rasmi za kuwasilisha maoni, mapendekezo au malalamiko Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.
|
Habari na Matukio
|
19 Jul, 2023 |
Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bi. Wendy Massoy amefungua mafunzo kwa Watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kuhusiana na “Risk Management and Compliance”.
|
Habari na Matukio
|
17 Jul, 2023 |
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere amefanya Mkutano na Taasisi Binafsi za Ukaguzi jijini Dodoma siku ya Ijumaa Julai 14, 2023.
|
Habari na Matukio
|
07 Jul, 2023 |
Heri ya Sikukuu ya SabaSaba 2023.
|
Habari na Matukio
|
07 Jul, 2023 |
Pongezi za Uteuzi
|
Habari na Matukio
|
22 Jun, 2023 |
Mfanyakazi Bora wa Jumla na Wafanyakazi Bora wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi 2023.
|
Habari na Matukio
|
22 Jun, 2023 |
Wafanyakazi Bora wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi 2023.
|
Habari na Matukio
|
16 Jun, 2023 |
Bw. Stephen Habari amechaguliwa kuwa Mfanyakazi Bora wa Jumla wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa mwaka 2023.
|
Habari na Matukio
|
15 Jun, 2023 |
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi yaalikwa Bungeni kusikiliza Serikali ikiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2022 na mpango wa Maendelo wa Taifa kwa mwaka 2023/2024.
|
Habari na Matukio
|
13 Jun, 2023 |
CAG, akagua hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa Jengo la kisasa la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, Mkoa wa Songwe.
|
Habari na Matukio
|
13 Jun, 2023 |
Ujenzi wa Jengo la kisasa la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, Mkoa wa Songwe.
|
Habari na Matukio
|
07 Jun, 2023 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Afisa wa NAOT, Bi. Nuru Waziri Kindamba kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje.
|
Habari na Matukio
|
05 Jun, 2023 |
CAG, Bw. Charles E. Kichere ameshiriki kwenye tukio la uwasilishaji wa Taarifa za Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
|
|
18 May, 2023 |
CAG, Bw. Charles E. Kichere akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Watendaji wa ngazi mbalimbali wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi katika Kikao Kazi, jijini Arusha Mei 15-19, 2023.
|
Habari na Matukio
|
10 May, 2023 |
Deputy Auditor General (DAG), Mr. George Haule represents CAG at the 2023 AFROSAI-E Strategic Review and 19th Governing Board Meeting held in Ghana from May 8-11, 2023.
|
Habari na Matukio
|
09 May, 2023 |
Karibu ujiunge na Mitando yetu ya Kijamii ya Twitter, Facebook, Instagram kupitia @ukaguzitanzania na YouTube kupitia @OfisiyaTaifayaUkaguzi
|
Habari na Matukio
|
26 Apr, 2023 |
Heri ya Miaka 59 ya Muungano, 1964-2023.
|
Habari na Matukio
|
24 Apr, 2023 |
Timu ya Netiboli ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi yaingia Robo Fainali ya Michezo ya Mei Mosi 2023 inayofanyika mjini Morogoro.
|
Habari na Matukio
|
22 Apr, 2023 |
Heri ya Sikukuu ya Eid al-Fitr.
|
Habari na Matukio
|
20 Apr, 2023 |
Ushiriki wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwenye Michezo ya Mei Mosi, 2023 inayofanyika Mkoani Morogoro.
|
Habari na Matukio
|
12 Apr, 2023 |
CAG, Bw. Charles E. Kichere amewahimiza Waajiriwa wapya kuzingatia maadili, uadilifu, umahiri pamoja na kutumia Teknolojia ya Kisasa ili kuboresha Kazi za Ukaguzi.
|
Habari na Matukio
|
09 Apr, 2023 |
Heri ya Sikukuu ya Pasaka.
|
Habari na Matukio
|
09 Apr, 2023 |
Maadhisho ya Kumbumbuku ya Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hayati Abeid Aman Karume.
|
Habari na Matukio
|
09 Apr, 2023 |
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Taarifa yake ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022.
|
Habari na Matukio
|
29 Mar, 2023 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Taarifa Kuu ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 kutoka kwa CAG, Bw. Charles E. Kichere.
|
Habari na Matukio
|
29 Mar, 2023 |
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) asaini Taarifa Kuu ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022.
|
Habari na Matukio
|
24 Mar, 2023 |
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imepokea na kupitisha mapendekezo ya Bajeti ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa mwaka 2023/2024.
|
Habari na Matukio
|
22 Mar, 2023 |
CAG aendesha mafunzo maalumu kwa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Bajeti, Machi 21, 2023 Bungeni, Dodoma.
|
Habari na Matukio
|
22 Mar, 2023 |
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi yaandaa Bonanza la kuchangia damu na kuimarisha afya za Wafanyakazi.
|
Habari na Matukio
|
08 Mar, 2023 |
Hongera Wanawake Wote kwa Kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, Machi 8, 2023.
|
Habari na Matukio
|
07 Mar, 2023 |
Siku ya Wanawake Duniani-Machi 8, 2023.
|
Habari na Matukio
|
03 Mar, 2023 |
Kikao kazi kinachoshirikisha nchi za Tanzania, Ghana, Ethiopia, Rwanda na Malawi kuhusiana na Usimamizi na utekelezaji wa Mipango Mkakati ya TEHAMA katika Taasisi za Kuu za Ukaguzi.
|
Habari na Matukio
|
07 Feb, 2023 |
NAOT Performance Auditors trained on Data Management Guidelines.
|
Habari na Matukio
|
27 Jan, 2023 |
Tunakutakia Heri katika Siku yako ya Kuzaliwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
|
Habari na Matukio
|
27 Jan, 2023 |
Waajiriwa Wapya wala Kiapo cha Utumishi kwa mujibu wa Sheria ya Ukaguzi wa Umma Sura 418.
|
Habari na Matukio
|
27 Jan, 2023 |
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere azungumza na Waajiriwa Wapya wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.
|
Habari na Matukio
|
20 Jan, 2023 |
Mkutano Mkuu wa mwaka 2023 wa Ukaguzi SACCOS.
|
Habari na Matukio
|
18 Jan, 2023 |
Skani “QR Code” kupata Jarida la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.
|
Habari na Matukio
|
19 Dec, 2022 |
Salamu za Pongezi za CAG kwa Watumishi waliohitimu “Masters of Finance Investment” chuo cha IFM.
|
Habari na Matukio
|
15 Dec, 2022 |
Kwa kupitia tovuti yetu Mwananchi anaweza kupata Ripoti mbalimbali za Ukaguzi.
|
Habari na Matukio
|
09 Dec, 2022 |
Heri ya Miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania
|
Habari na Matukio
|
01 Dec, 2022 |
Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani!
|
Habari na Matukio
|
26 Nov, 2022 |
Regional East-Africa Cooperation on Communication, Quality Control/Quality Assurance Workshop held in Kigali, Rwanda on November, 2022.
|
Habari na Matukio
|
24 Nov, 2022 |
Warsha ya Mawasiliano, Udhibiti na Uhakiki Ubora yafanyika Kigali, Rwanda
|
Habari na Matukio
|
11 Nov, 2022 |
Ukaguzi wa Umoja wa Afrika (AU)
|
Habari na Matukio
|
28 Oct, 2022 |
Ushirikiano wa Ofisi ya CAG na Taasisi Kuu nyingine za Ukaguzi (SAI’s)
|
Habari na Matukio
|
19 Oct, 2022 |
Members of the High level planning meeting from the various Supreme Audit Institutions (SAI) of the East Africa Community (EAC) Audit Commission for the financial year 2021/2022.
|
Habari na Matukio
|
14 Oct, 2022 |
Kumbukizi ya Miaka 23 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mw. Julius Kambarage Nyerere
|
Habari na Matukio
|
13 Oct, 2022 |
CAG, Bw. Charles Kichere akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wa Kikao Kazi cha NAOT na SNAO jijini Dar es Salaam.
|
Habari na Matukio
|
12 Oct, 2022 |
Washiriki wa Kikao cha Kamati ya Uendeshaji ya Ushirikiano wa Maendeleo ya Kitaasisi kati ya NAOT na SNAO kilichofanyika Oktoba, 2022 jijini Dar es Salaam.
|
Habari na Matukio
|
06 Oct, 2022 |
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi yateuliwa kwa kipindi cha pili Kukagua Hesabu za Umoja wa Afrika (AU)
|
Habari na Matukio
|
04 Oct, 2022 |
Faida na Umuhimu wa kushirikiana na CAG wakati wa kazi ya Ukaguzi
|
Habari na Matukio
|
29 Sep, 2022 |
Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Benki ya Dunia, Bw. Asad Alam atembelea Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.
|
Habari na Matukio
|
27 Sep, 2022 |
Hongera sana AAG, Bw. Azizi Jumanne Dachi kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Bodi ya Benki ya NMB.
|
Habari na Matukio
|
27 Sep, 2022 |
Aina ya Kaguzi zinazotekelezwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
|
Habari na Matukio
|
21 Sep, 2022 |
NAOT Staff Top Scorers CISA Exam held between January-June, 2022.
|
Habari na Matukio
|
21 Sep, 2022 |
Warsha ya mwaka ya Rasilimaliwatu (AFROSAI-E Annual HR Workshop) iliyoandaliwa na AFROSAI-E inafanyika kuanzia Septemba 19-23, 2022 jijini Dar es Salaam, Tanzania.
|
Habari na Matukio
|
10 Sep, 2022 |
Karibu ufatilie kurasa zetu za mitandao ya kijamii ya Twitter, Facebook, Instagram na YouTube kupitia @ukaguzitanzania
|
Habari na Matukio
|
10 Sep, 2022 |
Watumishi NAOT kutoka Divisheni mbalimbali wakabidhiwa Tuzo ya CAG ya Ripoti Bora ya Ukaguzi kwa mwaka wa Fedha 2020/2021.
|
Habari na Matukio
|
05 Sep, 2022 |
Ziara ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ofisi ya Ukaguzi Zanzibar.
|
|
18 Aug, 2022 |
AFROSAI-E Annual HR Regional Workshop: 19 – 23 September in Dar es Salaam, Tanzania
|
|
12 Aug, 2022 |
Mafunzo maalumu ya kuwajengea uwezo Wasaidizi wa Mkaguzi Mkuu na Wakaguzi Wakuu wa Nje yaliyoandaliwa na Bodi na Taasisi ya Ukaguzi wa Mafunzo ya Korea Kusini (AITI na BAI) kwa ushirikiano na NAOT.
|
Habari na Matukio
|
08 Aug, 2022 |
Heri ya Sikukuu ya Wakulima 8/8
|
Habari na Matukio
|
05 Aug, 2022 |
TANZIA
|
Habari na Matukio
|
26 Jun, 2022 |
OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI YATOA MSAADA KWA KITUO CHA KULEA WATOTO CHA KIJIJI CHA MATUMAINI DODOMA
|
Habari na Matukio
|
23 Jun, 2022 |
WAFANYAKAZI WASTAAFU WAAGWA HUKU WAFANYAKAZI BORA NA HODARI WAKIKABIDHIWA ZAWADI ZAO
|
Habari na Matukio
|
16 Jun, 2022 |
Report on the Audit of Utilisation of Funds Issued Under the Catastrophe Containment and Relief Trust Facility from June 2020 to April 2022
|
Habari na Matukio
|
16 Jun, 2022 |
CAG AKUTANA NA WAKAGUZI KUTOKA TAASISI NA KAMPUNI BINAFSI
|
Habari na Matukio
|
16 Jun, 2022 |
Naibu Spika afunga mafunzo kwa Wabunge ya kuwaongeza ujuzi wa kuchambua na kujadili ripoti za Ukaguzi
|
Habari na Matukio
|
10 Jun, 2022 |
Sensa ya Mwaka 2022
|
Habari na Matukio
|
02 Jun, 2022 |
Mkutano wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)
|
Habari na Matukio
|
27 May, 2022 |
Tangazo la nafasi za kazi Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) 27-05-2022
|
Habari na Matukio
|
13 Jan, 2022 |
NAOT yafanya kikao kazi na Waandishi wa Habari za kijamii Mkoani Morogoro
|
Habari na Matukio
|
02 Oct, 2021 |
CAG atembelea Makumbusho ya mauaji ya kimbari (Genocide) nchini Rwanda ya mwaka 1994.
|
Habari na Matukio
|
25 Jun, 2021 |
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi yatoa mafunzo kwa Kamati za kudumu za Bunge za PAC, PIC, LAAC na kwa Watumishi wake katika kuwajengea uwezo.
|
Habari na Matukio
|
21 May, 2021 |
Tangazo la Nafasi za Kazi Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) 21-05-2021
|
Habari na Matukio
|
28 Mar, 2021 |
Taarifa kwa Umma:CAG Akabidhi Ripoti kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan
|
Habari na Matukio
|
28 Mar, 2021 |
Taarifa kwa Umma:Uwasilishaji wa Ripoti za Ukaguzi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
|
Habari na Matukio
|
25 Mar, 2021 |
Taarifa kwa Umma: Kuhuishwa kwa Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura ya 418.
|
Habari na Matukio
|
18 Mar, 2021 |
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC ) na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wafanya ziara kwenye mradi wa ujenzi wa kiwanda cha sukari cha Mkulazi
|
Habari na Matukio
|
16 Mar, 2021 |
Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) yatoa Mafunzo kwa Wakaguzi
|
Habari na Matukio
|
09 Mar, 2021 |
Kamati za kudumu za Bunge za PAC na LAAC zapatiwa mafunzo ya kuwajengea uwezo
|
Habari na Matukio
|
20 Jan, 2021 |
CAG atoa Mafunzo kwa Kamati za BUNGE
|
Habari na Matukio
|
04 Jul, 2020 |
CAG Awataka Wafanyakazi Kuzingatia Uwazi na Uwajibikaji
|
Habari na Matukio
|
28 May, 2020 |
Watumishi wa ofisi ya Taifa ya Ukaguzi watakiwa kutangaza Mali na Madeni
|
Habari na Matukio
|
13 May, 2020 |
NAOT scoops Prize for the best Performance Audit Report of 2019 for the fourth time
|
Habari na Matukio
|
13 May, 2020 |
Tangazo la nafasi za Kazi - NAOT
|
Zabuni na Kazi
|
06 Apr, 2020 |
Taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusu Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha ulioishia Tarehe 30 Juni 2019
|
|
06 Apr, 2020 |
Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha ulioishia Tarehe 30 Juni 2019 zawasilishwa Bungeni leo tarehe 06 Aprili 2020
|
Habari na Matukio
|
26 Mar, 2020 |
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akabidhi ripoti za Ukaguzi kwa Raisi Dkt. John Pombe Magufuli ya mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 June 2019.
|
Habari na Matukio
|
09 Mar, 2020 |
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi yafanya Warsha ya siku mbili kwa Waandishi wa Habari Mkoani Mwanza
|
Habari na Matukio
|
19 Feb, 2020 |
Mwakilishi wa Balozi wa Sweden atembelea Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi
|
Habari na Matukio
|