Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bi. Wendy Massoy amefungua mafunzo kwa Watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kuhusiana na masuala ya udhibiti wa vihatarishi (risk management and compliance).
Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bi. Wendy Massoy amefungua mafunzo kwa Watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kuhusiana na “Risk Management and Compliance”.
