Report Reference Number: AGR/DP/2020/21

QR Code: TPsvQuSpbr

Taarifa hii inalenga kuwapatia wadau wetu uchambuzi wa matokeo mbalimbali yaliyotokana na kaguzi za miradi inayofadhiliwa na fedha za Serikali ya Tanzania pamoja na Wadau wa Maendeleo. Ripoti hii inajumuisha kaguzi za hesabu 292 za miradi katika mwaka wa fedha 2020/21. Pia inaangazia masuala yaliyotokana na kaguzi tisa za kaguzi za kiufundi kwenye kutathmini mipango, usanifu, na ujenzi wa miradi ya maendelo katika sekta za usafirishaji, nishati, maji, na kilimo. 

Pia, ripoti hii inajumuisha Ukaguzi wa Mradi wa Umeme unaomilikiwa kwa Pamoja wa Kikanda wa Maporomoko ya Maji wa Rusumo (RRFHP).