News and Announcements

CAG, Bw. Charles E. Kichere akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Watendaji wa ngazi mbalimbali wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi katika Kikao Kazi, jijini Arusha Mei 15-19, 2023.

CAG, Bw. Charles E. Kichere akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Watendaji wa ngazi mbalimbali wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi katika Kikao Kazi, jijini Arusha Mei 15-19, 2023.

Read More

Deputy Auditor General (DAG), Mr. George Haule represents CAG at the 2023 AFROSAI-E Strategic Review and 19th Governing Board Meeting held in Ghana from May 8-11, 2023.

Deputy Auditor General (DAG), Mr. George Haule represents CAG Mr. Charles E. Kichere at the 2023 AFROSAI-E Strategic Review and 19th Governing Board Meeting in Ghana from May 8-11, 2023, showcasing commitment…

Read More

Karibu ujiunge na Mitando yetu ya Kijamii ya Twitter, Facebook, Instagram kupitia @ukaguzitanzania na YouTube kupitia @OfisiyaTaifayaUkaguzi

Karibu ujiunge na Mitando yetu ya Kijamii ya Twitter, Facebook, Instagram kupitia @ukaguzitanzania na YouTube kupitia @OfisiyaTaifayaUkaguzi

Read More

Heri ya Miaka 59 ya Muungano, 1964-2023.

Heri ya Miaka 59 ya Muungano, 1964-2023.

Read More

Timu ya Netiboli ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi yaingia Robo Fainali ya Michezo ya Mei Mosi 2023 inayofanyika mjini Morogoro.

Timu ya Netiboli ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi yaingia Robo Fainali ya Michezo ya Mei Mosi 2029 inayofanyika mjini Morogoro.

Read More

Heri ya Sikukuu ya Eid al-Fitr.

Heri ya Sikukuu ya Eid al-Fitr.

Read More

Ushiriki wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwenye Michezo ya Mei Mosi, 2023 inayofanyika Mkoani Morogoro.

Ushiriki wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwenye Michezo ya Mei Mosi, 2023 inayofanyika Mkoani Morogoro.

Read More

CAG, Bw. Charles E. Kichere amewahimiza Waajiriwa wapya kuzingatia maadili, uadilifu, umahiri pamoja na kutumia Teknolojia ya Kisasa ili kuboresha Kazi za Ukaguzi.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere akizungumza na Waajiriwa wapya wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wakati alipozindua mafunzo ya awali ya ukaguzi kwa Waajiriwa hao…

Read More