CAG, Bw. Charles E. Kichere amefungua mafunzo kwa Wajumbe wa Kamati za Bunge za Kudumu za Hesabu za Serikali (PAC), Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), na Kamati ya Bajeti.