CAG, Bw. Charles E. Kichere na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi watembelea miradi mbalimbali ya ujenzi wa Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma.