Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Juma Selemani Mkomi amezindua Baraza Jipya la Wafanyakazi la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi