Furaha Kaboneka wa NAOT Nyota wa Riadha Mita 100 SHIMIWI 2023.
Furaha Kaboneka wa NAOT Nyota wa Riadha Mita 100 SHIMIWI 2023.
Read MoreFuraha Kaboneka wa NAOT Nyota wa Riadha Mita 100 SHIMIWI 2023.
Read MoreMwakilishi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bw. George Haule akiwasilisha mada kwenye Mkutano wa Wiki ya Ufuatiliaji na Tathmini (M&E) kuhusu umuhimu wa Thamani ya Fedha katika Sekta ya…
Read MoreThe National Audit Office of Tanzania is actively engaging in a pivotal Regional East Africa cooperation workshop, alongside counterparts from Supreme Audit Institutions (SAIs) in Kenya, Rwanda, Uganda, and…
Read MoreKaribu "subsribe" kwenye Online Ukaguzi TV kwenye mtandao wa YouTube upate elimu na habari mbalimbali kuhusu Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.
Read MoreOfisi ya Taifa ya Ukaguzi imeendesha mafunzo kwa Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Arusha. Mafunzo hayo yaliyohusisha Wanachama wa "Arusha Press Club" yamefanyika Jumatatu, Agosti 28, 2023 jijini Arusha.
Read MoreMdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere amefungua mafunzo kwa ajili ya Wakaguzi wa Ufanisi (Performance Auditors) kuhusu uchakataji wa data kwa kutumia programu ya Excel.
Read MoreMafunzo ya kuwajengea uwezo Wakaguzi wa Ufanisi yaliyoandaliwa na AFROSAI-E kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi yanaendelea jijini Arusha.
Read MoreOfisi ya Taifa ya Ukaguzi imekabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali kwa Gereza Kuu Isanga ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2023.
Read More