Habari na Matukio

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi yashiriki ufunguzi wa Mkutano wa Wiki ya Ufuatiliaji na Tathmini Septemba 12, 2023 jijini Arusha.

Mwakilishi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bw. George Haule akiwasilisha mada kwenye Mkutano wa Wiki ya Ufuatiliaji na Tathmini (M&E) kuhusu umuhimu wa Thamani ya Fedha katika Sekta ya…

Soma Zaidi

The National Audit Office of Tanzania is actively engaging in a pivotal Regional East Africa cooperation workshop, alongside counterparts from Supreme Audit Institutions (SAIs).

The National Audit Office of Tanzania is actively engaging in a pivotal Regional East Africa cooperation workshop, alongside counterparts from Supreme Audit Institutions (SAIs) in Kenya, Rwanda, Uganda, and…

Soma Zaidi

Karibu “subscribe” kwenye Online Ukaguzi TV kwenye mtandao wa YouTube upate elimu na habari mbalimbali kuhusu Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.

Karibu "subsribe" kwenye Online Ukaguzi TV kwenye mtandao wa YouTube upate elimu na habari mbalimbali kuhusu Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.

Soma Zaidi

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi imeendesha mafunzo kwa Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Arusha. Mafunzo hayo yaliyohusisha Wanachama wa “Arusha Press Club” yamefanyika Jumatatu, Agosti 28, 2023 jijini Arusha.

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi imeendesha mafunzo kwa Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Arusha. Mafunzo hayo yaliyohusisha Wanachama wa "Arusha Press Club" yamefanyika Jumatatu, Agosti 28, 2023 jijini Arusha.

Soma Zaidi

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere amefungua mafunzo kuhusu uchakataji wa data kwa kutumia programu ya Excel.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere amefungua mafunzo kwa ajili ya Wakaguzi wa Ufanisi (Performance Auditors) kuhusu uchakataji wa data kwa kutumia programu ya Excel.

Soma Zaidi

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi imekabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali kwa Gereza Kuu Isanga ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2023.

 Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi imekabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali kwa Gereza Kuu Isanga ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2023.

Soma Zaidi

Maofisa wa Shirika la Fedha la Kimataifa la (IMF) kutoka Washington, D.C. Marekani wamekutana na Viongozi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi nakujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano.

Maofisa wa Shirika la Fedha la Kimataifa la (IMF) kutoka Washington, D.C. Marekani wamekutana na Viongozi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi ambapo pamoja na masuala mengine wamejadiliana kuhusu maeneo ya…

Soma Zaidi

Njia rasmi za kuwasilisha maoni, mapendekezo au malalamiko Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.

Njia rasmi za kuwasilisha maoni, mapendekezo au malalamiko Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.

Soma Zaidi