Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Ripoti ya Ukaguzi wa Serikali 2023/24 kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bw. Charles E. Kichere.