Habari na Matukio

Congratulation to the Appointed CAG, Mr. Charles Kichere

The Management and Staff of the National Audit Office (NAOT) join all Tanzanians in Congratulating Mr. Charles Kichere on his appointment as Controller and Auditor General (CAG).

Read More

Ufunguzi warsha ya Toleo Maalumu la Mwananchi la Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali

Mkaguzi Mkuu wa Ndani katika Mkoa wa Mbeya Bwana Exaud Nitukusya (aliyesimama) akiwa pamoja na Bwana Frank (Kushoto) na Bibi Happy Severine  (Kulia) wakati wa ufunguzi wa  warsha ya siku tatu ya…

Read More

CAG Charles Kichere akabidhiwa ofisi

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bwana Charles Kichere amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa J. Assad ambaye amemaliza muda…

Read More

Washiriki wa Warsha ya siku tatu ya Toleo la Ripoti Maalumu ya Mwananchi

Mkaguzi Mkuu wa Nje katika katika Ofisi ya CAG  Mkoa wa Mbeya Bwana Exaud Nitukusya (katikati) akiwa na Watumishi wenzake na washiriki kutoka Asasi zisizo za Kiserikali na Wanahabari wakati wa ufunguzi…

Read More

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi Yakamilisha Zoezi la Kukusanya Maoni ya Wadau Kuhusu Mpango Mkakati Wake

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi imekamilisha zoezi la kushirikisha wadau wake katika kutoa maoni kuhusu mabadiliko ya vipaumbele katika Mpango Mkakati wake wa mwaka 2016/17 hadi 2020/21. Akizungumza baada ya…

Read More

Ofisi ya CAG yafanya kongamano la siku mbili mjini Bagamoyo

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali imefanya kongamano la siku mbili kwa vyombo vinavyohusu matumizi ya taarifa za ukaguzi wa uchunguzi ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa shughuli za mradi wa…

Read More

Maonesho ya wiki ya Utumishi wa Umma 16-23/6/2014

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ikiwa kama ofisi zingine za umma inatarajia kushiriki katika maonesho ya wiki ya utumishi wa umma yatakayofanyika kuanzia tarehe 16/6/2014 hadi tarehe 23/6/2014…

Read More

CAG AWASILISHA RIPOTI ZA UKAGUZI ZA MWAKA 2012/13 KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Ludovick Utouh amewasilisha ripoti  za ukaguzi wa hesabu za serikali  za mwaka wa fedha 2012/13 kwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…

Read More