Mkaguzi Mkuu wa Nje katika katika Ofisi ya CAG  Mkoa wa Mbeya Bwana Exaud Nitukusya (katikati) akiwa na Watumishi wenzake na washiriki kutoka Asasi zisizo za Kiserikali na Wanahabari wakati wa ufunguzi wa  warsha ya siku tatu ya Toleo Maalum la Mwananchi na wajibu wa Mwanahabari katika kuandika ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali