Miaka 50 ya Uhuru: Kutoka Ofisi ya Mkaguzi Mkoloni hadi Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi
DESEMBA 9 mwaka huu, Tanganyika iliadhimisha miaka 50 ya uhuru wake huku kukiwa na mambo kadhaa ambayo idara kama za Serikali Kuu ziliandaa na kuonyesha. Kumbukumbu hiyo ya uhuru ilionyesha historia ya mambo…
Soma Zaidi