Tunaendelea kutoa Elimu ya Ukaguzi katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba). Tupo kwenye Gazebo la Mhe. Ali Hassan Mwinyi. Karibuni Wote.