Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bw. Charles Kichere akiwa kwenye picha ya pamoja na Wakaguzi kutoka Taasisi na Kampuni binafsi na wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT). Kushoto waliokaa ni Mkaguzi kutoka PwC, Bi. Zainabu Msimbe na kulia ni Naibu Mkaguzi Mkuu (Mashirika ya Umma), Bw. Salhina Mkumba.