CAG, Bw. Charles E. Kichere, aendesha Kikao cha pamoja na IAG, Bw. Benjamini Mashauri, na Wakaguzi kutoka Kampuni Binafsi za Ukaguzi kufanya tathmini ya ukaguzi 2022-23 jijini Arusha.