CAG, Bw. Charles E. Kichere ameshiriki kwenye tukio la uwasilishaji wa Taarifa za Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
CAG, Bw. Charles E. Kichere ameshiriki kwenye tukio la uwasilishaji wa Taarifa za Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere ameshiriki kwenye tukio la uwasilishaji wa Taarifa za Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.