Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere akizungumza na Waajiriwa wapya wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wakati alipozindua mafunzo ya awali ya ukaguzi kwa Waajiriwa hao yanayofanyika jijini Dodoma. CAG amewahimiza Waajiriwa hao kuzingatia maadili, uadilifu, umahiri pamoja na kutumia Teknolojia ya Kisasa ili kuboresha kazi za ukaguzi.