Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bi. Wendy Massoy akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa kutoka nchini Zambia, Mhe. Darious Mulunda (MB) wakati Kamati yake ilipofanya ziara siku moja Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) jijini Dodoma.