Katika kumuenzi Mwalimu, Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi itaendelea Kutoa Huduma za Ukaguzi zinazoimarisha Uwajibikaji na Uwazi katika Usimamizi wa Rasilimali za Umma.