Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bi Wendy Massoy (mwenye  suti ya bluu katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo ya masuala ya ubia baina ya Serikali na Taasisi binafsi,mara baada ya kufungua mafunzo hayo mkoani Singida kwa niaba ya CAG.