Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, akimvalisha medali ya ushiriki wa Bonanza la Bunge, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere.