Maofisa wa Shirika la Fedha la Kimataifa la (IMF) kutoka Washington, D.C. Marekani wamekutana na Viongozi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi ambapo pamoja na masuala mengine wamejadiliana kuhusu maeneo ya ushirikiano baina ya Taasisi zote mbili.
Pata yanayojiri kwenye barua pepe yako