Maofisa watano kutoka Chuo Kikuu cha Ukaguzi cha Nanjing-China wamefanya mazungumzo na viongozi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi Tanzania jijini Arusha kujadili mikakati ya kuimarisha uhusiano wa taasisi hizo mbili.