NAOT yaendesha Mafunzo ya Ukaguzi kwa "Tabora Press Club" lengo ni kuwajengea uwezo Waandishi wa Habari kuandika taarifa za Ukaguzi wa CAG.