Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la JP Magufuli lenye Urefu wa Km 3.2 (Kigongo -Busisi) mkoani Mwanza. Katika

ziara yake hiyo aliyoifanya Aprili 17, 2024, CAG pia amekagua ujenzi wa barabara unganishi ya Daraja hilo yenye urefu wa kilometa 1.66.