Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere amefungua mafunzo kwa ajili ya Wakaguzi wa Ufanisi (Performance Auditors) kuhusu uchakataji wa data kwa kutumia programu ya Excel.