Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA, Adv. Charles E. Kichere amefungua Mafunzo kwa Waajiriwa Wapya 48, wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.