Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ndg. Charles E. Kichere anatoa Salamu za Pole kwa Familia ya Marehemu, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wananchi wa Jimbo la Kongwa na Watanzania wote, kufuatia msiba wa Spika Mstaafu, Mhe. Job Yustino Ndugai.