Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Bw. Crispin F. Chalamila, amemtembelea Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bw. Charles E. Kichere, Ofisini kwake jijini Dodoma.Ziara hiyo ni sehemu ya kuimarisha ushirikiano kati ya Taasisi hizo mbili.