Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Bw. Novati Mfalamagoha, amemwakilisha CAG kwenye kufungua mafunzo kwa Wakaguzi wa Ufanisi kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda. Mafunzo hayo yanafanyika kwa siku nne kuanzia Aprili 22-25, 2024 jijini Arusha.