Mkutano wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles Kichere akizungumza na Wahariri kupitia Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwenye mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam Mei 28, 2022 katika ukumbi wa JNICC.