Naibu Mkaguzi Mkuu (Serikali za Mitaa), Bi. Kubela Mwakatundu amewasilisha mada kwa Wakurugenzi waliopo chini ya Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.