Mwakilishi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bw. George Haule akiwasilisha mada kwenye Mkutano wa Wiki ya Ufuatiliaji na Tathmini (M&E) kuhusu umuhimu wa Thamani ya Fedha katika Sekta ya Umma (Value for Money in the Public Sector) Septemba 12, 2023 jijini Arusha.