Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere anatoa pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) na Wabunge wote kwa kupata msiba wa Mhe. Ahmed Yahya Abdulwakil (pichani) aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kwahani Zanzibar.

 

Inna Lillahi Wa Inna Illayhi Rajioon.