Watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi jijini Dodoma wameshiriki kikamilifu katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi kwa mwaka 2024 katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.