Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles Kichere akipokea ujumbe Maalumu wa ukaribisho  kutoka kwa  Watumishi wa Ofisi ya Ukaguzi Zanzibar wakati alipofanya ziara ya kikazi Ofisini kwa CAG wa Zanzibar Jumatatu, Septemba 5, 2022. Pamoja na mambo mengine CAG Zanzibar pia. Pamoja na mambo mengine CAG alifanya ziara ya kikazi kwa ajili ya kujenga na kuimarisha mahusiano ya utendeaji kazi wa Ofisi hizi mbili.