Habari na Matukio

CAG atembelea Makumbusho ya mauaji ya kimbari (Genocide) nchini Rwanda ya mwaka 1994.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Charles E Kichere akisaini Kitabu cha Heshima nchini Rwanda tarehe 30/9/2021 alipotembelea eneo la kumbukumbu ya mauaji ya kimbari (Genocide) ya…

Read More

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi yatoa mafunzo kwa Kamati za kudumu za Bunge za PAC, PIC, LAAC na kwa Watumishi wake katika kuwajengea uwezo.

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi inafanya mafunzo kwa ajili ya kuwajengea uwezo Wabunge wa Kamati za kudumu za Bunge. Kamati hizi ni pamoja na Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) Kamati ya kuhudumu ya Serikali za…

Read More

Taarifa kwa Umma: Kuhuishwa kwa Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura ya 418.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali anapenda kuutarifu Umma kuwa, Sheria ya Ukaguzi wa Umma, sura ya 418 imefanyiwa mapitio na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Sheria hii iliyopitiwa imeanza…

Read More