CAG, akagua hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa Jengo la kisasa la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa Mkoa wa Songwe.