CAG, Bw. Charles E. Kichere, akikabidhi zawadi kwa Bi. Mayasa Shemhaji, mshindi wa shindano la kubuni nembo ya Kituo cha Mafunzo, Utafiti na Ubunifu cha Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.