CAG, Bw. Charles E. Kichere akikaribishwa Bungeni na Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azan Zungu wakati Serikali ilipowasilisha Bungeni Ripoti za Ukaguzi wa CAG kwa Mwaka wa Fedha 2022/23.