CAG, Bw. Charles E. Kichere amewasilisha Ripoti ya Ukaguzi wa Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.