Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imepokea na kupitisha mapendekezo ya Bajeti ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa mwaka 2023/2024.