Kikao kazi kinachoshirikisha nchi za Tanzania, Ghana, Ethiopia, Rwanda na Malawi kuhusiana na Usimamizi na utekelezaji  wa Mipango Mkakati ya TEHAMA katika Taasisi za Kuu za Ukaguzi.